Wasimamizi wa vituo vya kutolea huduma Wilayani Maswa wamehitikia wito wa kuingiza taarifa za kifedha kwenye mfumo wa FFARS. Zoezi hili limeanza baada ya mafunzo kutolewa kwa wasimamizi wa vituo vya msingi vya kutolea huduma Wilayani Maswa. Vituo hivyo viahusisha Shule za msingi, Shule za Sekondari, Zahanati na vituo vya Afya.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.