• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Mrejesho |
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijijini ya Mjini
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Uratibu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Tehama
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi
      • Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

Tanroad kubadili mwonekano wa Maswa

Posted on: September 9th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mhe Aswege Kaminyoge amesema Serikali ya awamu ya sita imetenga fedha  kwa ajili ya ujenzi wa Barabara mbalimbali katika mji  wa Maswa  ambao utabadili muonekano wa mji na kukuza uchumi  na biashara katika wilaya  ya Maswa.

Akitoa salamu za Serikali leo tarehe 8 Septemba 2022  katika Baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Maswa lililofanyika katika  ukumbi wa Halmashauri hiyo, Kaminyoge amesema  tayari Serikali imetoa Shs. bilioni 11 kwa ajili ya ujenzi wa Barabara  ya Mchepuo (buypass) ambapo maroli yatapita huko na kuepusha msongamano na ajali katika maeneo ya mjini.

Aidha Mkuu wa Wilaya amewaomba Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, Mwenyekiti wa Halmashauri, waheshimiwa madiwani pamoja na wataalamu wote kutengeneza alama yenye muonekano mzuri ambayo itautambulisha mji wa Maswa kutokana na ujenzi wa barabara ya mzunguko (roundabout) itakayojengwa Njiapanda ya  Lalago na Lalago Maswa Girls.

Pia Mhe Kaminyoge amewapongeza Waheshimiwa Madiwani kwa kusimamia vizuri  zoezi la Sensa ya watu na makazi kwa kuwa hakuna kaya hata moja ambayo haijahesabiwa na zoezi la chanjo ya porio ambapo Wilaya ya Maswa imevuka lengo katika zoezi hilo.

Awali wakiwasilisha taarifa kwa nyakati tofauti  za utekelezaji wa miradi ya maji  na Barabara  wakala wa Barabara za vijijini na mjini (TARURA) na Mamlaka ya maji na Usafi wa Mazingira Mjini Maswa (MAUWASA) wamesema Serikali itaendelea kutoa fedha ili miradi yote ambayo haijakamilika ikamilike  na wananchi wapate huduma Bora ambazo zitawawezesha kufanya maendeleo katika maeneo yao.

Kwa upande wao waheshimiwa Madiwani wameipongeza serikali kwa jitihada kubwa walizozifanya kwa kutumia fedha za tozo katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya barabara na maji na kuomba serikali iendelee kutoa fedha ili Miradi ambayo haijakamilika iweze kukamilika.


Matangazo

  • TANGAZO LA MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI June 19, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI May 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI May 27, 2022
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO May 30, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WALIMU WA AWALI WAPATIWA MAFUNZO YA MBINU BORA ZA KUFUNDISHIA

    June 10, 2025
  • PPRA YATOA MAFUNZO YA MFUMO WA NeST KWA WATAALAMU WA UNUNUZI WILAYANI MASWA

    March 27, 2025
  • DKT ANNEY; NENDENI MKASIMAMIE MIRADI YETU VIZURI

    March 26, 2025
  • VIKUNDI 15 VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU VYAPATA MKOPO

    March 26, 2025
  • Tazama zote

Video

Fursa za uwekezaji Mkoani Simiyu
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sensa ya mwaka 2022
  • Taarifa ya Mapato na matumizi
  • Mfumo wa FFARS
  • Mfumo wa IMIS
  • Mfumo wa PlanRep
  • Government Web Framework
  • Mfumo wa PREM
  • Maswa DC Mail Domain
  • Hotuba ya Mh. Waziri Mkuu PLANREP/FFARS

Viunganishi linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Simiyu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Sekretariet ya Ajira
  • Ikulu
  • Baraza la Mitihani Tanzani
  • Wizara ya Elimu Tanzania
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Mwonekano wa Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

    Sanduku la Posta: 170, MASWA

    simu ya Mkononi: +255 282 750 271

    Simu: +255 282 750 271

    Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.