EQUIP Tanzania inaendesha mafunzo ya umahiri wa kuhesabu ( kuongeza na kupunguza vitu) Wilayani Maswa.Tangu kuanza sasa hivi ni kundi la pili linaloanzia tarehe 6 - 10 /8/2017 linalojumuisha kata 17 zenye idadi ya shule 61 na washiriki wawili kutoka kila shule husika yaani mwalimu mratibu wa mafunzo kazini na mwalimu mahiri wa hisabati chini ya watoa mafunzo 6 yaani Wakufunzi 4 kutoka chuo cha ualimu Butimba, Afisa elimu taaluma 1 na mdhibiti ubora 1 kutoka Wilayani Maswa.
Mafunzo yanaendelea vema na washiriki wanaendelea kuvaragua zana za kufundishia na kujifunzia.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.