Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa Ndg. Vivian Christian akikabidhi hati ya kiwanja kwa Afisa Sheria mkuu bohari ya dawa (MSD) na Mwenyekiti wa kamati ya viwanda Bi. Batuli Mushi pamoja na watumishi wa bohari ya dawa kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda cha vifaa tiba katika eneo la viwanda lililopo Ng'hami katika Kata ya Nyalikungu. Makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.