• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Mrejesho |
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha
      • Afya
      • Ardhi na Mali asili
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo
      • Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Ukaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

DC AZINDUA ANWANI ZA MAKAZI NA POSTICODE

Posted on: March 15th, 2022

Mkuu wa wilaya ya maswa Mh. Aswege Kaminyoge  amezindua rasmi operesheni ya uwekaji wa anwani  za makazi na postikode itakayotekelezwa wilayani Maswa.

Operesheni hiyo imezinduliwa leo March 15 katika eneo  la Madeko na kuhudhiriwa na viongozi mbalimbali wa wilaya wakiwemo Kamati ya ulinzi na usalama wilaya, Kamati ya anwani  za makazi, wataalamu wengine wa halmashauri, Vijana watakao husika katika zoezi la ukusanyaji taarifa za anuani za makazi  pamoja na wananchi.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kuweka  kibao cha anwani  katika Barabara ya Uhuru na Kadoto iliyopo hapa Maswa Mkuu huyo wa Wilaya amesema Barabara hizo ndizo zitakazotumika katika utambuzi wa anwani  za makazi (postikode) na zoezi hilo litaendelea maeneo yote ya Wilaya ya Maswa.

Mh. Kaminyoge  ameongeza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia  Suluhu Hassani ametoa maelekezo hayo kwa nchi nzima kuwa maeneo yote lazima  yatambulike kwa sababu ni sera ya taifa ya mwaka 2003 ya posta kuwa ifikapo 2025 kila nyumba, taasisi, biashara, hospitali na maeneo mengine yote na barabara yawe na namba zinazoeleweka

Aidha Mkuu wa Wilaya amewaeleza wananchi lengo la kuweka  anwani  za makazi litawaletea manufaa makubwa katika shughuli mbalimbali wanazozifanya ikiwepo biashara mtandaoni, kurahisisha shughuli za tafiti na upatikanaji wa taarifa, kuimalisha ulinzi na usalama pamoja na upatikanaji wa huduma kwa urahisi katika maeneo husika.

Mh. Kaminyoge  ametoa wito kwa viongozi wote kuanzia ngazi ya Kitongoji, Vijiji, Kata na Ofisi ya Mkurugenzi waendelee kutoa  elimu ili kurahisisha zoezi hilo na kuwapa ushirikiano na mazingira wezeshi vijana wote waliopata mafunzo ili waweze kufanya  kazi kwa ubunifu na weredi mkubwa kwa sababu zoezi hilo linatakiwa kukamilika ifikapo April 15.

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili May 20, 2022
  • TANGAZO LA KAZI YA MKATABA March 24, 2022
  • TANZGAZO LA NAFASI YA KAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI April 08, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Mratibu wa Sensa Wilaya atoa mafunzo kwa Kamati za sensa

    May 16, 2022
  • Mratibu wa Sensa Wilaya atoa mafunzo kwa Kamati za sensa

    May 16, 2022
  • Madiwani waipongeza Serikali kwa kutoa mabilioni Maswa

    May 12, 2022
  • Kamati yaridhishwa na miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Wilaya ya Maswa

    April 21, 2022
  • Tazama zote

Video

Fursa za uwekezaji Mkoani Simiyu
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Taarifa ya Mapato na matumizi
  • Mfumo wa FFARS
  • Mfumo wa IMIS
  • Mfumo wa PlanRep
  • Government Web Framework
  • Mfumo wa PREM
  • Maswa DC Mail Domain
  • Hotuba ya Mh. Waziri Mkuu PLANREP/FFARS
  • Mfumo wa MVC-MIS

Viunganishi linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Simiyu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Sekretariet ya Ajira
  • Ikulu
  • Baraza la Mitihani Tanzani
  • Wizara ya Elimu Tanzania
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Mwonekano wa Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

    Sanduku la Posta: 170, MASWA

    simu ya Mkononi: +255 282 750 271

    Simu: +255 282 750 271

    Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.