1.Hakikisha umesajiliwa kwenye mfumo
Hakikisha unawasiliana na Afisa TEHAMA ili kusalijiwa kwenye mfumo
2.Huisha akaunti yako ya Mfumo
Tumia akaunti yako ya barua pepe za serikali ili kusajiliwa na uweze kuhuisha akauti yako mara baada ya hatua ya kwanza kukamilika
3.Ingia na chagua kiungo cha kibali cha Kusafiria
Upande wa kushoto mwa mfumo kuna machaguo,chagua kiungo cha kibali cha kusafiria kisha chagua Omba kibali.
4.Jaza Fomu kwa kufuata hatua namba 1 mpaka namba 5 .
Mara baada ya kukamilisha ujazaji wa fomu kikamilifu ,bonyeza wasilisha kukamilisha maombi ya kibali
Ili kuingia kwenye Mfumo fuata kiunganishi hiki Mfumo wa Vibali vya kusafiria nje ya nchi
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.