Tuesday 1st, July 2025
@Uwanja wa CCM Nguzonane
Kupitia ziara hii Mkuu wa Wilaya ya Maswa anawaalika Wananchi wote kumpokea, kushangilia na kusikiliza hotuba katika maeneo atakayopita.
Anatarajia kutembelea Kiwanda cha Pamba kilichopo katika eneo la Viwanda Ng'hami na baadaye kuwa na Mkutano katika Kiwanja cha CCM Nguzonane.
Wananchi wote mnaalikwa kuja kuhudhuria mkutano.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.