Tuesday 8th, July 2025
@Busega, Bariadi, Itilima, Meatu na Maswa
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa na Ziara ya Siku nne katika Mkoa Wa Simiyu. Ziara hiyo inatarajia kuanza tarehe 15/6/2025 hadi 18/6/2025.
Tarehe 16/6/2025 atakuwa Mgeni Rasmi katika Hafula ya Uzinduzi wa Chanjo ya Mifugo itakayofanyika kwenye eneo la viwanja vya Nyakabindi katika Halmashauri ya Mji wa Bariadi.
Tarehe 17/6/2025 atafanya ziara katika Wilaya ya Itilima na Meatu.
Tarehe 18/6/2025 atafanya ziara katika Wilaya ya Maswa.
Kupitia ziara hii Mkuu wa Wilaya ya Maswa anawaalika Wananchi wote kumpokea, kushangilia na kusikiliza hotuba katika maeneo atakayopita.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.