Friday 19th, April 2024
@Katika Ofisi za Vijiji
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa na timu yake ya Wataalamu watakuwa na zoezi la ufuatiliaji usomaji wa taarifa za Mapato na Matumizi katika Vijiji vyote hapa Wilayani kwa muda wa siku tano. Wananchi wote wanahimizwa kuhudhuria mikutano hiyo siku na muda kama ratiba inavyoonesha. Angalia RATIBA YA MIKUTANO1.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.