Sunday 11th, May 2025
@Katika Ofisi za Serikali za vijiji
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa na timu yake ya Wataalamu watakuwa na zoezi la usimamiaji mikutano ya kuibua miradi ya maendeleo kwa kila kijiji hapa Wilayani itakayotekelezwa mwaka wa fedha 2018/2019. Mikutano hii imeanza tarehe 14/6/2018 na inategemea kuhitimishwa tarehe 19/6/2018.
Wananchi wote wanahimizwa kuhudhuria mikutano hiyo siku na muda kama ratiba inavyoonesha ili kushiriki kuandaa miradi mhimu katika maeneo yenu. Tazama ratiba RATIBA YA MIKUTANO YA KUIBUA MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA 2018-2019.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.