Thursday 2nd, May 2024
@
Kampeni ya Zoezi la kusajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5 imeanza tarehe 14/3/2018 na itafanyika kwa muda wa siku 14 hadi hapo tarehe 28/3/2018. Baada ya kampeni hii hili zoezi litakuwa endelevu.
Maeneo teule kwa ajili ya zoezi hili ni katika Ofisi za Watendaji wa Kata, Zahanati, Vituo vya Afya na Hospitali ya Wilaya. Kila Mzazi mwenye mtoto wa umri huo anahusika.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.