Friday 14th, February 2025
@Ukumbi Mkubwa
Baraza la Madiwani Wilayani Maswa litakaa tarehe 30 - 31/12/2019 siku ya Jumatatu na Jumanne kufanya kikao cha robo ya kwanza ya mwaka 2019/2020. Wananchi wote mnakaribishwa kuja kusikiliza.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.