Kutokana na usaili uliofanyika tarehe 24/08/2024 wafuatao kwenye tangazo ndio wateule waandishi wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki katika zoezi la ubereshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura Wilayani Maswa. Zaidi pakua orodha ya WALIOTEULIWA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI.pdf
Mafunzo yatafanyika tarehe 1-2/9/2024 katika kumbi mbili kama inavyoonyesha eneo la mafunzo kwenye orodhaya wateule.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.