Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa anawatangazia waombaji wa nafasi ya Mtendaji wa Kijiji III kuwa waliofaulu usaili wa mchujo (kuandika) wafike kwenye usaili wa Mahojiano ya ana kwa ana tarehe 03/03/2023 . Zaidi soma USAILI 2023.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.