Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa anawatangazia waombaji wa nafasi ya Mtendaji wa Kijiji III kuwa usaili utafanyika kuanzia tarehe 23/09/2023 usaili wa mchujo na 24/09/2023 usaili wa Mohojiano ya ana kwa ana na Mwandishi mwendesha Ofisi II kuwa usaili utafanyika kuanzia tarehe 21/03/2023 usaili wa Vitendo na 22/09/2023 usaili wa Mohojiano ya ana kwa ana. Zaidi soma TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.