Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa anawatangazia waombaji wa nafasi ya Katibu Mahususi III na Mtendaji Kijiji III kuwa usaili utafanyika kuanzia tarehe 28/07/2022 katika Ukumbi mkubwa wa Halmashauri kuanzia saa 2 mbili asubuhi. Zaidi soma TANGAZO LA USAILI JULY 2022.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.