Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa anawatangazia wananchi wote wenye nia ya kujenga vibanda vya biashara katika eneo lililoko Soko kuu karibu na choo cha zamani au nyuma ya kituo cha mafuta cha Phantom afike Ofisi ya Mkurugenzi kuchukua fomu.
Fomu zitaanza kutolewa tarehe 8-12/4/2019 muda ni 2.00 Asubuhi hadi 9.30 Alasiri. Kwa maelezo zaidi soma TANGAZO.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.