Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa Bw. Maisha S. Mtipa anapenda kuwajulisha wananchi wa Wilaya ya Maswa kwamba, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeipatia Halmashauri ya Wilaya ya Maswa kiasi cha shilingi 3,086,000,000/= Fedha hizi ni kwa ajili ya miradi ya Elimu Msingi, Utawala na Afya.
Aidha, Mkurugenzi Mtendaji kwa niaba ya wananchi wa Wilaya ya Maswa anapenda kutoa shukrani kwa Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuipatia Halmashauri fedha nyingi kwa ajili ya Miradi ya Maendeleo.
MCHANGANUO WA MAPOKEZI YA SHILINGI 3,086,000,000.002
|
|
|
---|---|---|
NA
|
AINA YA MRADI
|
KIASI KILICHOTOLEWA
|
1
|
JENGO LA UTAWALA
|
1,000,000,000
|
2
|
MIUNDO MBINU YA ELIMU MSINGI
|
286,000,000
|
3
|
MIUNDO MBINU YA AFYA
|
1,100,000,000
|
4
|
VIFAA TIBA ZAHANATI NA VITUO VYA AFYA
|
700,000,000
|
|
JUMLA KUU
|
3,086,000,000
|
Imetolewa na
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
HALMASHAURI YA WILAYA YA MASWA.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.