Ni idara inayohudumia afya za wakazi wa Halmashauri hii wapatao 344,125 kwa Mujibu wa sensa ya Watu na makazi ya mwaka 2012.
Ni idara yenye hospitali moja (1) ya wilaya, vituo vya afya vitatu (3) na zahanati zipatazo 42. Jumla ya vituo vyote vya kutolea huduma ni 46.
Zifuatazo ni shughuli za idara kwa kifupi:
Hii inafanyika kwa wagojwa wanaolazwa hususani hospitali ya wilaya na pia vituo vya afya.
Kufanya usimamizi shirikishi.
Kupitia utoaji wa huduma za afya idara imefanikiwa kupungua vifo vya watoto chini ya miaka 5 kutoka 2/1000 hadi 1/1000.
Mipango ya baadaye ni pamoja na:
Mikakati ya kuboresha hali ya lishe katika Wilaya ya Maswa kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 hii hapa MIKAKATI YA KUBORESHA SHUGHULI ZA LISHE MASWA.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2020 Maswa District Council. All rights reserved.