Saturday 27th, April 2024
@Kata ya Jija
Wiki ya Maji kwa mwaka huu inatarajiwa kufanyika tarehe 22/3/2018 katika Kata ya Jija. Maadhimisho hayo yataambatana na zoezi la upandaji miti kwenye eneo la chanzo cha maji. Wananchi wote mnakaribishwa.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.