Watumishi wote Wilayani Maswa mnatangaziwa kushiriki Kongamano la Watumishi Wote litakalofanyika siku ya Jumanne tarehe 30/4/2019 katika Ukumbi mkubwa wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa. Mgeni rasmi atakuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka. Zaidi soma TANGAZO.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.