Miche ya Miti iliyotayarishwa kwa ajili ya uzinduzi wa zoezi la Upandaji Miti Wilayani Maswa Tarehe 24/12/2021
Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mhe. Aswege Kaminyoge akiongea na hadhara siku ya upandaji miti 24/12/2021 katika eneo la Shule ya Sekondari Zanzui
Kaimu Mkurugenzi Ndg. Vivian Christian akiongea na hadhara siku ya upandaji miti 24/12/2021 katika eneo la Shule ya Sekondari Zanzui
Diwani wa Kata ya Zanzui Mhe: Jeremia Mange Shigala akiongea na hadhara siku ya upandaji miti 24/12/2021 katika eneo la Shule ya Sekondari Zanzui
Hadhira iliyofika katika eneo la upandaji Miti tarehe 24/12/2021
Afisa Misitu Ndg. Anthony Maganga mwenye buti za kijani akitoa maelezo kwa Mkuu wa Wilaya kabla ya kuanza zoezi la pandaji Miti uliofanyika katika shule ya Sekondari Zanzui tarehe 24/12/2021
Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Maswa akitoa maelezo kwa Wananchi kabla ya kuanza zoezi la upandaji Miti uliofanyika katika shule ya Sekondari Zanzui tarehe 24/12/2021
Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Maswa akijiandaa kupanda Mti leo tarehe 24/12/2021
Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Maswa akipanda Mti katika Shule ya Sekondari Zanzui wakati wa uzinduzi leo Tarehe 24/12/2021
Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Maswa akinawa mikono baada ya kupanda Mti katika Shule ya Sekondari Zanzui wakati wa uzinduzi leo Tarehe 24/12/2021
Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Maswa akitoa maelezo baada ya kupanda Mti katika Shule ya Sekondari Zanzui wakati wa uzinduzi leo Tarehe 24/12/2021
Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Maswa na Wananchi wakishangilia baada ya Mkuu wa kufanya uzinduzi na kupanda Mti katika Shule ya Sekondari Zanzui wakati wa uzinduzi leo Tarehe 24/12/2021
Diwani wa Kata ya Zanzui Mhe. Jeremia Mange Shigala akipanda Mti katika Shule ya Sekondari Zanzui wakati wa uzinduzi leo Tarehe 24/12/2021
Mwenyekiti wa Wilaya ya Maswa Mhe. Paul Simon Maige akipanda Mti katika Shule ya Sekondari Zanzui wakati wa uzinduzi leo Tarehe 24/12/2021
Mwenyekiti wa Wilaya ya Maswa Mhe. Paul Simon Maige akinawa mikono baada ya kupanda Mti katika Shule ya Sekondari Zanzui wakati wa uzinduzi leo Tarehe 24/12/2021
Wananchi wa Zanzui, Wanafunzi wa Sekondari Zanzui na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa wakipanda Miti katika eneo la Shule ya Sekondari Zanzui wakati wa uzinduzi leo tarehe 24/12/2021
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.