Ujaenzi wa Ghala lakuhifadhi nafaka
Kazi zinazofanyika katika ghala ni:-
Mradi huu umegharimu Tsh. 375,394,015/= chini ya ufadhili wa Programu ya Miundombinu ya Masoko, uongezaji wa thamani ya mazao na uwezeshaji wa fedha vijijini (MIVARF). Aidha mradi wa mashine ya kukoboa mpunga na kupanga madaraja umegharimu kiasi cha Tsh. 89,050,691/= ambapo Halmashauri ya Wilaya ya Maswa imechangia Tsh. 25,000,000/= na programu ya MIVARF imechangia Tsh. 64,050,691/=.
Ghala la kuhifadhi mpunga la Malampaka
Mashine ya kukoboa, kupanga madaraja na kusindika mchele iliyopo katika Ghala la kuhifadhi mpunga Malampaka Maswa.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.