• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Mrejesho |
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijijini ya Mjini
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Uratibu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Tehama
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi
      • Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

Usafi ni Afya, Usafi ni Maendeleo

Posted on: September 16th, 2023

Afisa usimamizi wa Usafi Halmashauri ya Wilaya ya Maswa Ndg. Budodi Walwa amewashukuru watumishi wote  pamoja na Wananchi wote wa Wilaya ya Maswa kwa kuitikia wito wa kufanya Usafi katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Maswa ambapo lengo likiwa ni kuzuia magonjwa ya mlipuko katika jamii na uchafu.

Ndg. Budodi amesema hayo leo tarehe 16.09.2023 wakati wa  maadhimisho ya siku ya Usafi Duniani ambapo Wilaya ya Maswa imeadhimisha siku hiyo kwa watumishi wa sekta mbalimbali kufanya Usafi katika Hospitali ya Wilaya ili kulinda Mazingira hayo.

Ameongeza kuwa siku hiyo ni muhimu sana kwa sababu inawahimiza wananchi kufanya Usafi ili kuepukana na magonjwa mbalimbali na pia wananchi wanatakiwa kushirikiana katika kuhamasishana ili waweze kukaa katika Mazingira yaliyo Safi ambayo yatawawezesha kufanya maendeleo yao vizuri.

Kwa upande wake msimamizi wa soko la jioni ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kitongoji Ndg Fadhiri Hamisi amesema wananchi wamehamasika Sana kufanya Usafi katika siku hiyo maalumu ya Usafi Duniani na wameahidi kuendelea kufanya Usafi katika Mazingira yao hasahasa katika soko hilo kwa kuwa linahudumia wananchi wengi.

Siku ya Usafi Duniani huadhimishwa Kila mwaka tarehe 16 Septemba ambapo lengo ni kuepusha Dunia na matatizo yanayosababishwa na uchafu ikiwemo uchafu wa Mazingira katika maeneo mbalimbali.

Maadhimisho hayo katika Wilaya ya Maswa yameambatana na michezo mbalimbali ambayo imefanyika ikiwepo mazoezi ya mwili ambapo mkuu wa Wilaya Mhe. Aswege Kaminyoge ameongoza mazoezi hayo pamoja na watumishi wote wa Wilaya ya Maswa.

"Kauli mbinu ikiwa tuungane wote kwa pamoja kuhimiza na kuhamasisha kudhibiti taka"


Matangazo

  • TANGAZO LA UHAMASISHAJI CHANJO YA MIFUGO January 21, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI May 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI May 27, 2022
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO May 30, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA YATOA MAFUNZO YA MFUMO WA NeST KWA WATAALAMU WA UNUNUZI WILAYANI MASWA

    March 27, 2025
  • DKT ANNEY; NENDENI MKASIMAMIE MIRADI YETU VIZURI

    March 26, 2025
  • VIKUNDI 15 VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU VYAPATA MKOPO

    March 26, 2025
  • KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YAPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO MASWA

    March 10, 2025
  • Tazama zote

Video

Fursa za uwekezaji Mkoani Simiyu
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sensa ya mwaka 2022
  • Taarifa ya Mapato na matumizi
  • Mfumo wa FFARS
  • Mfumo wa IMIS
  • Mfumo wa PlanRep
  • Government Web Framework
  • Mfumo wa PREM
  • Maswa DC Mail Domain
  • Hotuba ya Mh. Waziri Mkuu PLANREP/FFARS

Viunganishi linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Simiyu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Sekretariet ya Ajira
  • Ikulu
  • Baraza la Mitihani Tanzani
  • Wizara ya Elimu Tanzania
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Mwonekano wa Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

    Sanduku la Posta: 170, MASWA

    simu ya Mkononi: +255 282 750 271

    Simu: +255 282 750 271

    Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.