Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, Ndg. Simon Berege anatoa shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassani kwa kutoa kiasi cha shs. 660,000,000/= kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa ya shule za sekondari 15 za wilaya ya Maswa.
Ifuatayo ni orodha ya shule za Sekondari Halmashauri ya Wilaya ya Maswa zilizo pokea fedha za ujenzi wa vyumba vya madarasa
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.