Watumishi wa makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Maswa wamekuwa na mkutano dhidi ya kupata taarifa ya Miradi ya kimkakati inayotekelezwa Wilayani hapa katika bajeti ya 2018/2019.
Mkutano umefanyika katika ukumbi mkubwa wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa kuanzia saa 5.00 asubuhi.
Miradi inayotekelezwa ni kama ifuatavyo; Upanuzi wa kiwanda cha chaki, Ujenzi wa kiwanda cha gypsam, ujenzi wa kiwanda cha vifungashio na ujenzi wa jengo la Bihashara.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.