Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Wilaya ya Maswa amefanya kikao na Wafanya biashara wa Mjini Maswa leo tarehe 19/2/2019 katika Ukumbi Mkubwa wa Halmashauri ya wilaya ya Maswa.
Agenda mahususi ili kuwa kufanya biashara katika mazingira mazuri na kuinua uchumi wilayani Maswa.
Wamejadili mambo mbalimbali ikwemo kuweka miundombinu mizuri ya kufanyia biashara ili kuinua uchumi wa wilaya yetu.Kutokana na hili wamekubaliana kurekebisha majengo yao ya biashara.
Wafanyabiashara hawa wamesema wanaenda kurekebisha majengo waliopanga kwa ajili ya biashara ili kuweka mji katika muonekano mzuri na mazingira yao ya kufanyia kazi yaweze kuwa mazuri na ya kupendeza.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.