• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Mrejesho |
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijijini ya Mjini
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Uratibu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Tehama
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi
      • Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

FUM yatembelea miradi ya maendeleo

Posted on: October 25th, 2022

Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM) imefanya ziara katika miradi mitatu ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Maswa kuona utekelezaji unavyoendelea kufanyika na kuwaomba wataalamu kusimamia miradi hiyo ili iweze kukamilika kwa muda uliopangwa

Wakiwa  katika ziara hiyo iliyofanyika Leo tarehe 25.10.2022 kamati imeridhishwa na ujenzi wa miradi hiyo inayotekelezwa katika maeneo hayo  ambayo ni Mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari Mashimba iliyopo Kata ya Badi ambayo ujenzi wake upo katika hatua nzuri na Mwezi Januari mwakani wanafunzi  wanatakiwa kusoma katika shule hiyo, Mradi wa ujenzi wa shule mpya ya sekondari katika Kata ya Nyalikungu ambapo mradi huo ukikamilika utahudumia watoto wa eneo hilo ambao utapunguza changamoto ya watoto kutembea mwendo mrefu kutafuta shule.

Mradi wa ujenzi wa kituo Cha afya awamu ya pili katika Kata ya Badi ambapo mradi huo upo katika hatua ya msingi na ukikamilika utasaidia wananchi wa eneo hilo katika huduma za afya ili kupunguza vifo katika jamii ya eneo hilo.

Kwa upande wao wajumbe wa kamati ya Fedha, Utawala na Mipango wameipongeza serikali kwa kuendelea kutoa fedha kwa ajili ya miradi ambayo inaendelea maeneo mbalimbali ya Maswa na kuwaomba viongozi wanaosimamia miradi hiyo kuwa karibu zaidi ili Miradi hiyo ikamilike kwa wakati.

Nao wataalamu wameahidi kusimamia kwa karibu miradi hiyo na changamoto zote ambazo zimejitokeza zitatatuliwa kwa wakati ili wananchi pamoja na wanafunzi waweze kutumia miundombinu hiyo pia ushauri wa kamati wameupokea na wameahidi kuutendea kazi kwa nguvu zote.



Matangazo

  • TANGAZO LA UHAMASISHAJI CHANJO YA MIFUGO January 21, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI May 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI May 27, 2022
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO May 30, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA YATOA MAFUNZO YA MFUMO WA NeST KWA WATAALAMU WA UNUNUZI WILAYANI MASWA

    March 27, 2025
  • DKT ANNEY; NENDENI MKASIMAMIE MIRADI YETU VIZURI

    March 26, 2025
  • VIKUNDI 15 VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU VYAPATA MKOPO

    March 26, 2025
  • KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YAPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO MASWA

    March 10, 2025
  • Tazama zote

Video

Fursa za uwekezaji Mkoani Simiyu
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sensa ya mwaka 2022
  • Taarifa ya Mapato na matumizi
  • Mfumo wa FFARS
  • Mfumo wa IMIS
  • Mfumo wa PlanRep
  • Government Web Framework
  • Mfumo wa PREM
  • Maswa DC Mail Domain
  • Hotuba ya Mh. Waziri Mkuu PLANREP/FFARS

Viunganishi linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Simiyu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Sekretariet ya Ajira
  • Ikulu
  • Baraza la Mitihani Tanzani
  • Wizara ya Elimu Tanzania
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Mwonekano wa Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

    Sanduku la Posta: 170, MASWA

    simu ya Mkononi: +255 282 750 271

    Simu: +255 282 750 271

    Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.