Friday 14th, February 2025
@Ng'hami, Hospitali ya Wilaya, Malampaka
Kupitia ziara hii Mkuu wa Wilaya ya Maswa anawaalika Wananchi wote kumpokea, kushangilia na kusikiliza hotuba katika maeneo atakayopita.
Anatarajia kutembelea maeneo matatu ambayo ni aneo la Kiwanda cha Chaki Ng'hami, Hospitali ya Wilaya ya Maswa na SGR Malampaka.
Wananchi wote mnaozunguka maeneo hayo mnaalikwa kuja kusalimiana na mgeni wetu.
Kauli Mbiu yetu; "Bidhaa moja, Kijiji kimoja" Maswa tunatekeleza kwa vitendo.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.