Thursday 21st, November 2024
@Sangamwalgesha, Lalago, Mbaragane, Sukuma, Ng’wigwa, Nguliguli, Zanzui, Sola, Nyalikungu, shanwa, Binza, Bushashi, Busangi, Isanga, Badi, Malampaka
Mwenge utapita katika Kata zifuatazo;
Sangamwalugesha, Lalago, Mbaragane, Sukuma, Ng’wigwa, Nguliguli, Zanzui, Sola, Nyalikungu, shanwa, Binza, Buchambi, Busangi, Isanga, Badi, Malampaka na Masela
Kauli Mbiu ya Mwaka huu inalenga Mabadiliko ya Tabia ya Nchi, Hifadhi ya Mazingira na Utunzaji wa vyanzo vya Maji yenye ujumbe;
“Tunza Mazingira, Okoa Vyanzo vya Maji kwa Ustawi wa Viumbe Hai kwa Uchumi wa Taifa”
JUMBE MBALIMBALI ZA MWENGE:
“Kuzuia Rushwa ni Jukumu lako na langu; tutimize wajibu wetu”
“Imarisha Usawa; tokomeza ukatili wa kijinsia na unyanyapaa”
“Lishe ni Msingi wa maendeleo; sote tuwajibike”
“Ziro Malaria inaanza na Mimi – nachukua hatua kuitokomeza”
“Tukabiliane na Changamoto za Dawa za kulevya wakati wote; kwa ustawi wa Jamii”
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.