Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa anapenda kuwatangazia Wananchi wote kuwa kutakuwa na zoezi la kusajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5. Kwa taarifa zaidi soma Tangazo la Kusajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa.pdf na Kipeperushi.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.