Kampuni ya Ng'hami (NICL) ya Maswa inatangaza nafasi ya Mafunzo ya uendeshaji Mitambo ya Chaki. Mwananchi yeyote mwenye sifa anakaribishwa kuomba nafasi hii. Zaidi soma TANGAZO LA MAFUNZO.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.