Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Maswa Mashariki na Maswa Magharibi anapenda kuwataarifu waombaji wote walioomba kazi ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki kwa ajili ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, kuwa usaili utafanyika tarehe 21/08/2024 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa kuanzia saa 2.00 Asubuhi. Kwa maelezo zaidi na Orodha ya Majina soma TANGAZO LA USAILI WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR OPERATOR - MASWA DC.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.