Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa anapenda kuwataarifu waombaji wa kazi kuwa usaili unatarajiwa kufanyika tarehe 12/9/2024 hadi 14/9/2024 katika Ukumbi Mkubwa wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa. Zaidi soma TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MASWA DC 2.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.