Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, iko kwenye maandalizi ya kufanya
Sensa ya Watu na Makazi ambayo itafanyika tarehe 23 Agosti 2022. Ili kufanikisha
Sensa hii, Serikali inatangaza nafasi za kazi za muda za MAKARANI NA
WASIMAMIZI WA SENSA kwa Watanzania wenye nia na sifa zinazostahili kama
ilivyoainishwa katika tangazo. Zaidi bofya Tangazo la Kazi za Muda za MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA 2022
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.