Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Maswa kwa mara nyingine anawatangazia wananchi wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya wilaya ya Maswa nafasi 1 ya kazi ya mkataba ya Afisa Masoko Msaidizi. Kwa maelezo zaidi bofya Tangazo la kazi ya Mkataba- Afisa Masoko Msaidizi-Marudio.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.