Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Maswa anawatangazia wananchi wote wenye vigezo kuomba nafasi za kazi zifuatazo:-
1. Dereva daraja la II - Nafasi 1
2. Mtendaji wa Kijiji daraja la II - Nafasi 3
Kwa maelezo zaidi bofya TANGAZO KAZI.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.