Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Maswa anawatangazia wamiliki wote wa Viwanja na Mashamba katika Mamlaka ya mji mdogo wa Maswa, Malampaka na Lalago ambao hawajalipia kodi walipie sasa.
Wamiliki wote fikeni ofisi ya Ardhi kuanzia saa 2.00 Asubuhi hadi saa 9.30 Alasiri kuchukua bili zao kwenda kulipia Benki.
Kwa maelezo zaidi bofya TANGAZO ARDHI.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.