Halmashauri ya Wilaya ya Maswa kwa mwaka wa fedha 2018/2019 imepitishiwa kiasi cha Tsh.Bilion 8.2 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya kimkakati.
Miradi inayotekelezwa ni kama ifuatavyo; Upanuzi wa kiwanda cha chaki, Ujenzi wa kiwanda cha gypsam, ujenzi wa kiwanda cha vifungashio na ujenzi wa jengo la Bihashara.
Utekelezaji umeishaanza kwa kutangaza Zabuni 1. TANGAZO.pdf na huu hapa ndio mpango kazi wake MPANGO KAZI.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.