Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashaurinya Wilaya ya Maswa anapenda kuwakaribisha wananchi wote kuja kusikiliza Kikao cha Baraza la Madiwani cha kujadili mambo ya maendeleo Robo ya pili ya Mwaka wa Fedha 2017/2018. Kikao hiki ni cha siku mbili kuanzia tarehe 15 - 16/3/2018 .
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.