Wazazi wa Wanafunzi wa shule ya msingi Maswa Wilayani Maswa ya wamefanya kikao na Mkurugenzi Mtendaji leo asubuhi wakiwa na ajenda moja ya ukamishaji wa ujenzi wa Matundu 30 ya vyoo vya Wanafunzi shuleni hapo.
Katika kikao taarifa ya Mapato na Matumizi imesomwa na kuonyesha hatua ya ujenzi ilipofikia. Katika ujenzi huo Serikali imechangia Shilingi 40,000,000/= kwa ajili ya kujenga vyoo hivyo. Ili vikamilike na kutumika yanahitajika mashimo ya maji taka ambayo wananchi walikubaliana kuchangia nguvu kazi ili vikamilike tayari kwa watoto wao kutumia.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.