Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu Bi. Miriam Perla Mmbaga amefanya kikao na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa. Katika kikao hicho watumishi wameibua hoja na changamoto mbalimbali ambazo baadhi yake kazijibu na nyingine kuzichukua kwa ajili ya utatuzi zaidi.
Wakati wa kuongea na Watumishi hao amesisitiza ubunifu na uwajibikaji wenye tija wakati wa utekelezaji wa majukumu yao.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.