Mifugo inayofugwa katika Wilaya ni pamoja na ng’ombe, mbuzi, kondoo, kuku na bata. Huduma za kustawisha mifugo zinatolewa kupitia majosho 44, mabwawa 33,malambo 31 Cliniki 1 ya mifugo na vituo 7 vya kutolea Ushauri wa mifugo. Zaidi ya ekari 92,418 hurutubishwa kila mwaka kutokana na uzalishaji wa tani 462,090 za mbolea ya samadi.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.