Friday 29th, March 2024
@
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu atakuwa na Ziara ya kutembelea Mashamba ya kilimo cha Pamba katika kijiji cha Buyubi kata ya Mwamashimba, Kiwanda cha Viatu katika Kata ya Senani, Ujenzi wa Kiwanda cha unga lishe katika kijiji cha Njiapanda Kata ya Isanga na Ghala la kuhifadhia nafaka katika Kata ya Malampaka. Ziara inatarajiwa kufanyika ndani ya siku mbili. Wananchi wa maeneo husika wanahimizwa kuhudhuria.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.