Watumishi wafuatao wanatakiwa kuwasilisha nakala za vyeti vyao vya kidato cha iv, vi na ualimu ofisi ya utumishi kabla au ifikapo tarehe 23/11/2018 bila kukosa. Watumishi waliohamia wanatakiwa kuwasilisha taarifa kutoka kwa mwajiri wa awali inayothibitisha kuwa vyeti vyao vilihakikiwa na baraza la taifa la mitihani (NECTA). Zaidi pakua TANGAZO MAALUM KUHUSU UHAKIKI WA VYETI-NOVEMBA 2018.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.