Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa anawakaribisha Wananchi wote kununua Viwanja katika eneo la mji mdogo wa Malampaka.
Viwanja vyote vimepimwa, vipo vya matumizi mbalimbali kama vile Viwanja vya Makazi, Biashara, Hoteli, Maghala, Vituo vya Mafuta, Viwanda na maeneo ya kuabudia.
Vinapatikana kwa gharama nafuu. Zaidi soma TANGAZO LA UUZAJI VIWANJA.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.