Kampuni ya Viwanda ya Ng'hami ( Ng'hami Industries Company Limited) inayomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu inatangaza fursa ya Uwakala wa kuuza bidhaa zinazozalishwa na Kiwanda cha Unga Lishe kilichopo Njiapanda Maswa. Zaidi Soma TANGAZO LA FURSA YA UWAKALA.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.