Watumishi wote Wilayani Maswa mnatangaziwa kila mmoja kujaza taarifa binafsi kwenye Fomu zilizotolewa na ofisi ya Mkurugenzi kama zinavyojieleza. Ni mhimu sana upatapo tangazo hili mjuze na mwenzako. Pakua Fomu hii hapa FOMU YA TAARIFA MBALIMBALI ZA MTUMISHI.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.