Watumishi wafuatao taarifa zao za NIDA na za mishahara hazijaoanishwa katika mfumo wa Lawson. Hivyo wanatakiwa waje na Kitambulisho cha NIDA na nakala ya kitambulisho hicho katika ofisi ya utumishi wilaya siku ya Ijumaa tarehe 07/06/2019 ili kuhakiki taarifa zao.
Orodha ya majina hii hapa ORODHA YA MAJINA.pdf .
Aidha, kwa wale ambao hawakuhakikiwa taarifa zao wanapaswa kufika ili wahakikiwe pia.
Upatapo taarifa hizi mjulisha na mwenzako.
Limetolewa na;
Ofisi ya Utawala na Utumishi Wilaya ya Maswa.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.