Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashaurinya Wilaya ya Maswa anapenda kuwakaribisha wananchi wote kuja kusikiliza Kikao cha Baraza la Madiwani cha kujadili mambo ya maendeleo Robo ya nne ya Mwaka wa Fedha 2018/2019.
Kikao hiki ni cha siku mbili kuanzia tarehe 11 - 12/9/2019 kama ifuatavyo.
Tarehe 11/9/2019 Siku ya kwanza ni ya kuchagua Makamu Mwenyekiti na kuunda Kamati mbalimbali
Tarehe 12/9/2019 Siku ya Pili ni uwasilishaji wa shughuli za maendeleo kwa mwaka 2018/2019
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.